Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 421
- 778
Kwahiyo ina maana JF walikosea kuweka jukwaa la Celebrities? Kwani hao wengine tunaowadiscuss inatuhusu?
Activists,role models especially women are 99% more likely not to be married or to stay in marriageWanazengo wapenda ubuyu, embu tujuzane wapenda umbeya. Huyu dada historia inasema aliolewaga. Hivi kimeendaje tena ama ndo mambo ya uzungu. Status ipoje sahiv? Maana tangu aolewage sijawahi muona na jamaa yake.
View attachment 1303235View attachment 1303234
KumbeeeAliachika
Hata wewe mbeya tu.. kama sio mbeya ungepita kimyaA cha umbeya
Nakutania tu....japo mi siyo mwenyeji wa mbeyaHata wewe mbeya tu.. kama sio mbeya ungepita kimya
waliweka ili mjadili kazi zao au ndoa zao, nadhani hii ni privacy yake angetaka ijadiliwe angeiweka wazi kwenye media.., anyway its your prelogative kujadili unachotaka ila usiseme kwamba inakuhusu...Kwahiyo ina maana JF walikosea kuweka jukwaa la Celebrities? Kwani hao wengine tunaowadiscuss inatuhusu?
Walishashindwana mbonaaNaomba nisisikie kuwa ameachika, nampenda huyu Dada na huwa namtakia Mema yote
Kweli?
Sikujua, nimesikitika sana. Halafu huyu jamaa alikuwa mtanzania, sivyo?
Yaap niliskia wametengana mda TuKweli?
I attended the wedding sijui party sijui ndio reception ilifanyika Shinyanga town.
Sent using Jamii Forums mobile app