Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaTamati ni 2028
Duuh🤣Ndoa ya Kikristo.
Deni lilishalipwa 2014,ndiyo maana ukaona arsenal wakaanza kusajili kwa hela kubwa,ozil, sanchez, emirates walisaini mkataba mpya na arsenalMpak deni lilipwe la ujenzi wa uwanja
Wali-renew mkatabaMkataba una mwisho ni long terms.
Mkataba ukiisha uwanja ushachoka Fly Emirates anaweka tena mzigo anarekebisha anandelea kupiga pesa.
Hata soka la Ulaya kuna mipango mingi kama ya Mo na Gsm.