Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Wakuu hivi ile foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta mpaka Bunju huwa inasababishwa na nini? Maana huwa ni kubwa na haiendi. Unaweza kutumia masaa matano kujongea kidogokidigo lakini ukifika mbele karibu na Bunju hukuti kilichosababisha foleni na barabara ni nyeupe kabisa.
Kwa anayejua atufafanulie. Mimi nimewahi kufika nyumbani saa 7 usiku kuanzia saa moja jioni napambana nayo mpaka nikalala kwenye gari lakini foleni haiendi kabisa.
Kwa anayejua atufafanulie. Mimi nimewahi kufika nyumbani saa 7 usiku kuanzia saa moja jioni napambana nayo mpaka nikalala kwenye gari lakini foleni haiendi kabisa.