Hivi Fredrik bundala (sky woker) na Roy Maganga wa RFA wapo wapi??

Hivi Fredrik bundala (sky woker) na Roy Maganga wa RFA wapo wapi??

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
Bundala,roy,groly Walikuwa watangazaji mahiri sana pale redio free ila sasa siwasikii kwa anayejua walipo anijuze
 
Namkumbuka san loy m maganga....2002..alinisaidia kusoma mpk saa tisa usiku...ili nisuir simuliz zake saa 7 usiku...nikiwa Advanced.pale nyegezi seminary.
 
Namkumbuka san loy m maganga....2002..alinisaidia kusoma mpk saa tisa usiku...ili nisuir simuliz zake saa 7 usiku...nikiwa Advanced.pale nyegezi seminary.

anhaaa mambo ya USIKU WA WAPENDANAO mimi pia nilijifunza vitu vingi kutoka kwa huyu jamaa
 
Mtoto wa mama sabuni namkumbuka sana kipindi hicho alikua anaamsha amsha sana Wakuu samahani kutoka nje ya mada Nashida nashindwa kuilata kiss FM Tanzania hapa morogoro anaefahamu frequency wakuu
 
Fredrick Bundala (Sky Walker) nadhani yupo Dizzim Online (youtube channel). Fungua hapo utamkuta
 
Tasnia ya Habari inabidi ujiongeze ukipenda kupiga piga keleke tu kisa usikike utajufa maskini, vijana wamejiongeza waliona majina bila pesa sawa na kumpigia mbuzi gitaa
 
Fredrick Bundala (Sky Walker) nadhani yupo Dizzim Online (youtube channel). Fungua hapo utamkuta
Napenda sana wanavyokuwa wanashirikiana na mkewe babysky kwenye chanel yao ya dizzim online.
 
Namkumbuka san loy m maganga....2002..alinisaidia kusoma mpk saa tisa usiku...ili nisuir simuliz zake saa 7 usiku...nikiwa Advanced.pale nyegezi seminary.
Unaitwa nani we jamaa, mimi nilikuwa RECTOR WAKO. Fr. Nhindilo.
 
Back
Top Bottom