hivi gari zote nne kuleta mitiani ni sawa?

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
nilikua hapa mitaa ya shule moja ya secondary,nimeona gari nne landcruiser zimeleta mitihani nkajiuliza kuna haja gani kuchoma mafuta kwa gari nne kisa mitihani? Hii inji tutaendelea kua masikini kwasbb kila aliye na ofisi ni mwizi
 
watanzania tunapenda sana kulaumu
 
Duuuh kweli tulikofikia sasa hali mbaya! Hatuna imani na chochote tena!
Yaani wewe kuona gari 4 zimeongozani ulishajua kuwa tayari mitihani imeletwa. Je kama kulikuwa na issue nyingine hao wahusika wamelazimika kukutana hapo na kupeana mikakakti 'wanajua wenyewe' kabla ya kila mmoja kuchukua uelekeo wake.
Hivi unapopanga kukutana na rafiki zako mahali huwa mnatumia gari moja?
Pengine una hoja ila kwajinsi ulivyowasilisha hukujenga hoja ili wasomaji wengine tukubaliane na wewe kwenye kwa hilo.
 
nilikua hapa mitaa ya shule moja ya secondary,nimeona gari nne landcruiser zimeleta mitihani nkajiuliza kuna haja gani kuchoma mafuta kwa gari nne kisa mitihani? Hii inji tutaendelea kua masikini kwasbb kila aliye na ofisi ni mwizi

Unazungumza kwa mahaba ya hisia. Waombe radhi hapo kwenye red!
 
hivi watanzania tumekuaje? Kwa ho nyie mnafurahia kutumika gari 4 kuleta mitihani?.hivi mnajua kila aliyomo kwenye gari kala posho? Imagn kama kila gari lina watu wanne,jumla kutakua na watu 16.kila mtu kwenye gari mfano awe analipwa elf 70x16=? Mafuta ya gari? Hiyo system ni kila siku mpaka mitiani inaisha hapo ni kwa wilaya moja, so jumlisha wilaya zote Tz na Z'bar
 
mtu yeyote ambaye hajawahi ibia ofisi aje hapa
 

hivi unajua hela zetu zinaliwa halmashauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…