Hivi gazeti la Daily News nalo lilifungiwa?

Mpaka Gazeti linafika mtaani, top layer ya CCM hawakufamu kitu? Hii heading imeandikwa kwa makusudi kabisa wala hakuna walichokosea.
Nakubaliana na wewe. Haiwezekani Gazeti likachapishwa bila kupitia na mhariri msaidizi na baadaye mhariri mkuu. Yaani wote hawa hawakuiona hiyo headline ambayo hata layman imemstua. Hata kwenye chumba cha Habari au wachapishaji hakuna aliyeshitushwa na hiyo headline..... Kuna kitu nyuma ya hii headline. Mhalili atakuwa kesha chukua pension in advance. Siyo bure.
 
Mhariri. Siyo “Mhalili”!
 
Sina uhakika nimeikuta mtandaoni. Sidhani kama hilo gazeti lilikurupuka kuandika lilivyoandika bila ya kupewa habari hiyo kutoka kwa reliable source(s)
Alisema kweli hivyo?
 
Kama ni mhalili na siyo mhariri itakuwa siyo bure.
 
Kuna kufanya kosa na kuna kupotosha, moja linaonyesha uzembe, jingine linaonyesha ill intention...

Eitherway huenda ni calculated kwa kutumia nyundo hii wataendelea kufungia kila watakayetaka kumfungia, precedent has been set.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…