juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Sasa ndio umenieleza nn hapo?Kaona mwenzake aitwaye CHURA alivyopata umaarufu kwa kucheza KICHURA CHURA.
Sasa na yeye kaamua kuja kwa style kama za huyo CHURA.
BASATA, kazi kwenu!
Khaaa?? Kwa hiyo kwa kupiga picha hizo tu kawa maarufuwewe unayesema humujui huyo wapo mtoto
Kwani umesahau Kiki za kibongo?Khaaa?? Kwa hiyo kwa kupiga picha hizo tu kawa maarufu
maana hata ka ni mvuto hana.wema sepetunga kamwacha mbali sanawewe unayesema humujui huyo wapo mtoto
Walicho pishana mmoja natural mwingine artficial katumia mkolezo.maana hata ka ni mvuto hana.wema sepetunga kamwacha mbali sana
Ni baby wa Ali kiba.Wakuu hii naapa kwa jina la mungu,
Kuna jina linatrend sana kwenye social netwek la mwanamke anaeitwa Giggy Money. Hivi huyu dada ni nani hasa au amefanya jambo gani kubwa kwani mbona watu wanamuongelea sana mitandaoni,??
Hakia mungu simjui zaidi ya kusoma nyuzi za watu zinazoongelea huyu mtu,anaemjua anijuze
NB: Kumbuka kuuliza si ujinga,na aulizae basi anataka kujua
ni MKE wa msanii ALLY KIBAWakuu hii naapa kwa jina la mungu,
Kuna jina linatrend sana kwenye social netwek la mwanamke anaeitwa Giggy Money. Hivi huyu dada ni nani hasa au amefanya jambo gani kubwa kwani mbona watu wanamuongelea sana mitandaoni,??
Hakia mungu simjui zaidi ya kusoma nyuzi za watu zinazoongelea huyu mtu,anaemjua anijuze
NB: Kumbuka kuuliza si ujinga,na aulizae basi anataka kujua
Ni baby wa Ali kiba.
Hahahaaani MKE wa msanii ALLY KIBA