Hivi Giggy money ni nani hapa Tanzania?

Huwa najiuliza kuna watu wanalipwa kwa ajili ya kuanzisha thread za huyu malaya humu jf? Maana tangu nianze kusoma thread za humu jf ni Giggy money tu mpaka sasa imekuwa kelo aiseee jamani tubadilike kidogo...

Ila mhhhhh naona kawa story of the town
 
Thread ya Gigy money bila tupicha picha hainogi kabisa, nimekuja nduki nikitegemea kukutana na tupicha lakini hola.
 
Usilitaje jina la muumba wako bure..
 
Ngoja amalize kukapteeiniwa atakuja kujibu mwenyewe
 
wewe unayesema humujui huyo wapo mtoto
Tatizo kubwa la Gigy ni kunuka jasho ukikaa nae katibu utagundua hilo ana kaharufu flani hivi cha jasho,mwenyewe anajitahidi kitumia unyunyu mkali but wapi harufu haikati,kwa wale ambao wamewahi kukaa nae karibu wanalijua hili.
 
Ni msanii anaimba pia, aliimba ile nyimbo ya alela ilibamba kidogo
 
Leo nimemsikia Clouds fm akielezea historia yake kama ile ndio kweli historia yake basi ana haki ya kufanya hayo anayoyafanya wala simlaumu.


sidhan kama makuzi mabaya yanatakiwa yainfluence tabia mbaya miongoni mwetu.
kwann hakujiinfluence kucheza mchezo wowote ule ili awe professional sportswoman ili awe popular kupitia njia hiyo?
hayo ya mama yake kutaka kutoa ujauzito mbona sio ishu kiihivyo kwan nani hapa duniani anayejua kama kweli alikuwa legitimate kid by the time of conception? mbona wapo wengine hadi walikuwa wanatolewa wakagoma kutoka na leo hii ni potential dudes kwenye sekta muhimu?

simply ni mtu alotafuta na weak weakest point ili aisimamie. as parents tu kazi hasa ya kuwaelimisha watoto wetu wajitambue na sio kutake advantage ya makuzi kuwa watu wasokuwa na heshima kama huyu.
 
Jman Huyu sio msichana ni mwanamke. Inamaana hamjui kotofautisha msichana / binti na mwanamke?
 
Na kama ana mdudu na watu wanapita peku tutegemee misiba mfululizo huko mbeleni maana list yake duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…