Hivi GK mzima kweli??

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Msanii King Crazy GK aliyetamba na ngoma zake kama vile sister sister na sauti ya Manka ambaye alitikisa vilivyo na style yake ya kuchana ingawa alikuwa na kigugumizi

Ila kwa sasa GK wa sasa hivi siyo yule wa kipindi kile maana hata style ya uimbaji pia nayo kabadilisha kwa kuwa sasa hivi achani tena bali anabana pua

Sasa bhana kioja alichokionesha bwana mdogo eti naye anataka alipwe pesa si chini ya millioni 30 kwa show moja

Nimemshangaa kweli yaan, maana ki wimbo chenyewe alichoimba sasa hivi cha mzuri pesa hakijabamba kiviile alafu eti ndio anataka alipwe kiasi chote hicho cha pesa?? Hawezi akawa serious hata kidogo ,huyo shetta ana ngoma kali kichizi lakini kwa show analipwa millioni 10 siku nyingine mpaka 5 anachukua sembuse yeye??

Ushauri wa bure asikimbilie suti kabla hajavaa nepi ,yeye bado sana kulipwa mpunga unaokaribia karibia anaolipwa Diamond platnums AKA Simba Jini

Nyinyi hamjamuelewa, yeye anajiami kwavile anajua hawezi kupata shoo kwa wimbo ule,sasa watu wasije kushangaa mbona hapandi jukwaani ........Likija swali kama hilo ndio atasema hawafiki pesa anayoitaka yeye.
 
dah umeona mbali
 
Hahahaa JF bhanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyinyi hamjamuelewa, yeye anajiami kwavile anajua hawezi kupata shoo kwa wimbo ule,sasa watu wasije kushangaa mbona hapandi jukwaani ........Likija swali kama hilo ndio atasema hawafiki pesa anayoitaka yeye.
Nimekupata boss .. defensive mechanism
 
Gk kichaa kinampanda naona,mi huyo hata bure simchukui,siwezi kosa wateja kwenye club yangu kisa huyo kichaa,hicho kinyimbo hata mi nikiamua kuimba hanikuti,labda zamani.
 
Ila wanamuzi wa mwanzo mwazoni wa bongo walo vuma zamani na kupotea...... Saivi kurudi na kuvuma tena ni kazi ya ziada sana. Labda inawezekana kwake akatu prove wrong
 
Gk kacheza michezo ya utototoni na joseph kusaga wewe unamuita bwana mdogo? ana miaka 45 huyo jamaa
 
Serious hurry up kabla mambo hayajawa mabaya
Ndipo hapo nikachukua ndiga mmmmmh mpaka hindu mandar
Ghorofa ya kwanza chumba namba ... mlango nikaugonga
Oooh Mola wangu sikuamin hata macho yangu
 
Nyinyi hamjamuelewa, yeye anajiami kwavile anajua hawezi kupata shoo kwa wimbo ule,sasa watu wasije kushangaa mbona hapandi jukwaani ........Likija swali kama hilo ndio atasema hawafiki pesa anayoitaka yeye.
Sasa hapa nimeelewa
 
Gk arejee style yake ya kuchana.........atumie swagga za kisasa katika video.........aonyeshe ugwiji wake wala asitetereke na madogo wa kama amesahau aje anitafute nimuonyeshe GK wa sasa anatakiwa kuwaje...........hiyo kubana pua sio swaga zake hata kidogo.
 
Cha kwanza alichoharibu GK ni kuimba.

Kwanini hajaendelea kuchana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…