Kwa sura au udakaji?Huwa namfaanisha sana na De Gea
VyoteKwa sura au udakaji?
Ter yupo vizuri kwa sasa kushinda Gea.
Bern Leno ndio yupo juu?Wakawaida
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Nadhani shida kubwa ya Joachim Low ni kupendelea wachezaji wanaocheza Bundesliga kwanza. Ana mentality za kuamini Bundesliga ni Ligi bora Pamoja na wachezaji wake. Angalia hata World Cup 2018 Manuel Neur alikuwa Majeruhi almost msimu mzima lakini Bado akampanga first Mechi zote. Kilichotokea kila Mtu anajua.Kwasasa huyu ndio kipa anayenikosha kwa uwezo wake mkuu wa kupangua mashuti ya timu pinzani yanayoelekezwa langoni kwake.
Kwa msimu sidhani kama ana mpinzani katika kuzuia mashuti, ni wakati sasa wa Joachim Loew kumweka benchi Manuel Neuer katika timu ya taifa na kumpa nafasi Ter Stegen aliye katika ubora wa pekee yake.
Leno kaibuka juzi, nampa misimu miwili tu, ter atasubir. ,ter anapigwagwa magol ya kizembe sanaBern Leno ndio yupo juu?
Pumba hii...kwani kipa gani hafungwi magoli ya kizembe mara ngapi oblack anafungwa ya kizembe juzi 2 apo kafungwa goli rahis na suarez ....uyo degea spain magoli alokuwaanafungwa world cup ujinga mtupu....ter stegen anajua aisee,sijui unamaanisha nini kusema ni wa kawaida ....makipa bora wa3 duniani ni degea terstegen na oblackLeno kaibuka juzi, nampa misimu miwili tu, ter atasubir. ,ter anapigwagwa magol ya kizembe sana
Halafu hapo barca makipa wanaonekanaga bora sana ,sababu ya mfumo wa timu,
Wakitoka hapo rangi zao halis huonekana, rejea Valdes, bravo
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Naunga mkono hojaPumba hii...kwani kipa gani hafungwi magoli ya kizembe mara ngapi oblack anafungwa ya kizembe juzi 2 apo kafungwa goli rahis na suarez ....uyo degea spain magoli alokuwaanafungwa world cup ujinga mtupu....ter stegen anajua aisee,sijui unamaanisha nini kusema ni wa kawaida ....makipa bora wa3 duniani ni degea terstegen na oblack
Kwasasa ni OBLACK, TERSTERGEN, LENOPumba hii...kwani kipa gani hafungwi magoli ya kizembe mara ngapi oblack anafungwa ya kizembe juzi 2 apo kafungwa goli rahis na suarez ....uyo degea spain magoli alokuwaanafungwa world cup ujinga mtupu....ter stegen anajua aisee,sijui unamaanisha nini kusema ni wa kawaida ....makipa bora wa3 duniani ni degea terstegen na oblack
HIvi ule ukuta wa Atletico ulivyo ulitegemea Oblak ataacha kua bora na mi clean sheet kibao?Oblak kwangu ni bora sana