EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
OkayNTA level 4 ni gpa ya nne na level 5 na 6 ni tano kama bachelor ambayo ndo diploma
Inategemea na uko chuo au taasisi ghaniHabari za leo wakuu,
Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5.
Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
Okay, mfano mtu anayechukua diploma ya accountancy IFM na mwaka wa kwanza wa diploma akapata GPA ya 2. 6 hiyo ni out of 4 au 5?Sikiliza wewe
Level 4 na 5 ambozo zinastand kama Technical certificate GPA kubwa kabisa ni 4.0
Ukija upande wa level 6 that stands as Diploma, GPA kubwa kabisa ni 5.0 ambayo inafanana na bachelor degree.
Pia GPA inayohitajika kutoka diploma kuingia Degree ya kwanza ni 3.0+
Hyo ni 2.6/5.0Okay, mfano mtu anayechukua diploma ya accountancy IFM na mwaka wa kwanza wa diploma akapata GPA ya 2. 6 hiyo ni out of 4 au 5?
Uyo ni kilaza Sana Tena mpumbavu kbisa umeenda chuo kucheza kusoma ten Kama wee ndo mwanang nakwamb mtafute baba akoOkay, mfano mtu anayechukua diploma ya accountancy IFM na mwaka wa kwanza wa diploma akapata GPA ya 2. 6 hiyo ni out of 4 au 5?
okayHyo ni 2.6/5.0
Inabidi semester ya mwsho ipatikane GPA ya 3.4+ ili itimize 3.0+ as accumulative GPA ili ufuzu Degree
Soma Prospectus ya IFMOkay, mfano mtu anayechukua diploma ya accountancy IFM na mwaka wa kwanza wa diploma akapata GPA ya 2. 6 hiyo ni out of 4 au 5?
okayUyo ni kilaza Sana Tena mpumbavu kbisa umeenda chuo kucheza kusoma ten Kama wee ndo mwanang nakwamb mtafute baba ako
Hahahaa, hatari sanaUyo ni kilaza Sana Tena mpumbavu kbisa umeenda chuo kucheza kusoma ten Kama wee ndo mwanang nakwamb mtafute baba ako
Uyo ni kilaza Sana Tena mpumbavu kbisa umeenda chuo kucheza kusoma ten Kama wee ndo mwanang nakwamb mtafute baba akoOkay, mfano mtu anayechukua diploma ya accountancy IFM na mwaka wa kwanza wa diploma akapata GPA ya 2. 6 hiyo ni out of 4 au 5?
Kabisa 2.6 upo chuo unasoma ama unafanya nin ifike stage tuwe tunatambu bhana alafu anakuja anaomba ushauri umtu ukifika chuo fanya kilicho kuleta ax wew account unapata 2.6 je ingekua pharmacy, md ingekuaje nacho taka kukushauri mzee kwasaizi acha Mambo yote focus kwenye kusoma upate gpa kubwa kwenye semester ya mwisho yani acha Mambo yako yote yasio ya muhimu naimani ukikaza last semester utafanya vizurHahahaa, hatari sana
Angepata 3.5 fresh kabisa anakuwa yupo juu ya vigezo kabisa
Mwaka wa kwanza diploma ni NTA level 5 hii GPA yake haikupeleki Degree hata uwe na GPA ya 4Okay, mfano mtu anayechukua diploma ya accountancy IFM na mwaka wa kwanza wa diploma akapata GPA ya 2. 6 hiyo ni out of 4 au 5?
Sawa chief, inabidi ajitahidi sanaUyo ni kilaza Sana Tena mpumbavu kbisa umeenda chuo kucheza kusoma ten Kama wee ndo mwanang nakwamb mtafute baba ako
Kabisa 2.6 upo chuo unasoma ama unafanya nin ifike stage tuwe tunatambu bhana alafu anakuja anaomba ushauri umtu ukifika chuo fanya kilicho kuleta ax wew account unapata 2.6 je ingekua pharmacy, md ingekuaje nacho taka kukushauri mzee kwasaizi acha Mambo yote focus kwenye kusoma upate gpa kubwa kwenye semester ya mwisho yani acha Mambo yako yote yasio ya muhimu naimani ukikaza last semester utafanya vizur
Mkuu nimekupata sana. Nashukuru mno kwa huu ushauriMwaka wa kwanza diploma ni NTA level 5 hii GPA yake haikupeleki Degree hata uwe na GPA ya 4
Mwaka wa pili ndio inabidi ukaze kwelikweli upate GPA ya 3.0 na kuendelea hadi 5 hii inaitwa NTA level 6 ndio ina sifa ya kwenda degree.
Hujachelewa kijana pambana
Kiongozi kuna kitu ulichoongea kimenifikirisha kidogo. Kuna Diploma aina ngapi sababu umeandika Higher Diploma!Inategemea na uko chuo au taasisi ghani
Ila mara nyiingi
Certificate yaani NTA 4 GPA ni 4.0 highest
Diploma ni GPA 5.0 highest.
Hivyo kuingia diploma kwa NTA LEVEL 5 ATLEAST UWE NA Gpa ya 2.0
Na kuunga Higher Diploma yaani NTA LEVEL 7 uwe na Alteast 3.0
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Mkuu, hyo achana nayo ilishafutwa toka kitambo..Kiongozi kuna kitu ulichoongea kimenifikirisha kidogo. Kuna Diploma aina ngapi sababu umeandika Higher Diploma!
Kijana wangu amepata changamoto kuomba Vyuo yeye ana Ordinary Diploma, naomba unieleweshe kuhusu Higher Diploma na Ordinary Diploma.
Uyo ni kilaza Sana Tena mpumbavu kbisa umeenda chuo kucheza kusoma ten Kama wee ndo mwanang nakwamb mtafute baba ako
Kabisa 2.6 upo chuo unasoma ama unafanya nin ifike stage tuwe tunatambu bhana alafu anakuja anaomba ushauri umtu ukifika chuo fanya kilicho kuleta ax wew account unapata 2.6 je ingekua pharmacy, md ingekuaje nacho taka kukushauri mzee kwasaizi acha Mambo yote focus kwenye kusoma upate gpa kubwa kwenye semester ya mwisho yani acha Mambo yako yote yasio ya muhimu naimani ukikaza last semester utafanya vizur
Mkuu hebu nisaidie. Hivi kwa nini NACTE wana GPA ya base ya 4 na ile ya Base ya 5-kwangu mimi hii inaleta makanganyiko. Nimeona chuo kimoja ukisoma regulations zao wanatumia base ya 4 kwa certificate lakini matokeo yanaonyesha mtu kapata zaidi ya 4. Ingekuwa rahisi kuona progress ya mtu kama certificate nayo ingekuwa na base ya 5 na diploma hiyo hiyo base ya 5.Mwaka wa kwanza diploma ni NTA level 5 hii GPA yake haikupeleki Degree hata uwe na GPA ya 4
Mwaka wa pili ndio inabidi ukaze kwelikweli upate GPA ya 3.0 na kuendelea hadi 5 hii inaitwa NTA level 6 ndio ina sifa ya kwenda degree.
Hujachelewa kijana pambana