The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wale wenzio wa kijani walioanguka na lorry kule morogoro wameishia wapi kwanza? Mmeshazika?🤣🤣🤣Kwa maapizo na kelele za Josephat Gwajima, wengi tulidhani angeleta haki na mageuzi.
Ama kweli, kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!
We mwanga nini? Unajuaje kuwa mimi ni kijani na si vyama vingine nyambaff?Wale wenzio wa kijani walioanguka na lorry kule morogoro wameishia wapi kwanza? Mmeshazika?🤣🤣🤣
Huyu si bure tu bali hovyo kabisa. Hata hivyo, tapeli angewezaje mambo kama haya wakati jimbo lake ni jitumbo lake?Yaani huyu me nlitegemea ataamuru waumini kuingia barabarani tupate pa kuanzia, kumbe bureee kabisa.
Kawaangusha waumini kwakweli
Anapambana na chama ili iweje au apate nini wakati alishapoteza au ni kulipiza kisasa. Je chawa ataweza kumshinda chura?Gwajima ni mwanachama wa chama anachopambana nacho na huu ni wakati kuelekea uchaguzi.
Umesoma uzi na kuuelewa vizuri kiasi cha kutoa madini. Congrats. Umeonge pwenti nyingi. Ubarikiwe. Jf inahitaji thinkers kama wewe.Huu mchezo sio rahisi kueleweka na kila mtu,...ukiona huelewi...jua haujaandikiwa wewe!...soma kama gazeti...then pita hivi!
Hii ni chase ya kikachero , hata makachero wanamnema mwali nyumba ya jirani bila kujua, siku wakijua wanacheza ngoma ya kumnema mwali wa jirani...muda utakuwa haupo tena...mwali tayari atakuwa uwanjani!...
Miluzi mingi itampoteza mbwa!...tumwachie mmoja kazi ya kupiga mluzi!
Hata baadhi ya post efuta kwenye mtandao wake. Yawezakua maridhianoKwa maapizo na kelele za Josephat Gwajima, wengi tulidhani angeleta haki na mageuzi.
Ama kweli, kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!
Ndivyo haya machawa na matapeli yalivyo. Hayana maana wala msimamo bali uchawa na njaa tu.Hata baadhi ya post efuta kwenye mtandao wake. Yawezakua maridhiano
We ni kijani acha ubishi DadaWe mwanga nini? Unajuaje kuwa mimi ni kijani na si vyama vingine nyambaff?
Wewe ni purple kama Zitto KabwaWe ni kijani acha ubishi Dada
Ile press yake ya mara ya mwisho niliona kabisa maji yamezidi unga 😹😹Yaani huyu me nlitegemea ataamuru waumini kuingia barabarani tupate pa kuanzia, kumbe bureee kabisa.
Kawaangusha waumini kwakweli
Sawaa, ila wewe ni kijani kama steve Mengele🤣🤣🤣Wewe ni purple kama Zitto Kabwa