The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Sep 9, 2025 Thread starter #21 Teknocrat said: Alipoanza kusema Mungu ataiingilia kati, hapo ndio nilianza kuilewa muvi ya kihindi.... Click to expand... Wake si Mungu bali shaitwan kabir wallahi
Teknocrat said: Alipoanza kusema Mungu ataiingilia kati, hapo ndio nilianza kuilewa muvi ya kihindi.... Click to expand... Wake si Mungu bali shaitwan kabir wallahi
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Sep 9, 2025 Thread starter #22 Lamomy said: Ile press yake ya mara ya mwisho niliona kabisa maji yamezidi unga 😹😹 Click to expand... Huyu ni changu na chawa wa kawaida aliyekuwa akijificha kwenye utapeli wa kuuza neno la Mungu kwa mazwazwa wenzake
Lamomy said: Ile press yake ya mara ya mwisho niliona kabisa maji yamezidi unga 😹😹 Click to expand... Huyu ni changu na chawa wa kawaida aliyekuwa akijificha kwenye utapeli wa kuuza neno la Mungu kwa mazwazwa wenzake
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,400 Sep 9, 2025 #23 Alitoa siku 10 kanisa lake lisipofunguliwa atafanya maamuzi magumu ila leo ni siku ya 24
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Sep 9, 2025 Thread starter #24 Lucha said: Alitoa siku 10 kanisa lake lisipofunguliwa atafanya maamuzi magumu ila leo ni siku ya 24 Click to expand... Hana lolote nyaani huyu. Wanamjuackuliko anavyojijua, na weshamweka ndani na kumtumia watakavyo asijue japo alidhani angewatumia, wakaishia kumuingiza ndani
Lucha said: Alitoa siku 10 kanisa lake lisipofunguliwa atafanya maamuzi magumu ila leo ni siku ya 24 Click to expand... Hana lolote nyaani huyu. Wanamjuackuliko anavyojijua, na weshamweka ndani na kumtumia watakavyo asijue japo alidhani angewatumia, wakaishia kumuingiza ndani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 9, 2025 #25 Yupo na mambo yake... Cc: Mahondaw