Hivi haifai TRA wachukue kodi yao yote ya Petrol kule bandarini?

Swali dogo ukiambiwa uoe mke usiyemjua utakubali?

Kodi haitozwi hivo kama unavyofikiria , kodi ni mahesabu kuna kuangalia mauzo ,garama za biashara, manunuzi n.k. Sasa unataka mtu kaleta tani 200n za mafuta alipe kodi je akishindwa uza yote, je garama zake za biashara zikibadilika badilika, je akiuza kwa bei ya juu zaidi. Ndiyo maana kodi inatozwa kwa kuangalia mambo hayo makuu 3 manunuzi,garama na mauzo.Huwezi toza kodi mtuu kwenye kitu hajauza bado.EFD tra wao wameleta kama nyenzo ya kuwasaidia kujua mauzo na pia mtumiaji yaani mmiliki wa efd kama nyenzo yake ya kutunza kumbukumbu.ili pande zote mbili tra na muuzaji kuweza weka mazingira ya kujua kiasi cha kutoza nyenzo hiyo ndiyo huwezesha taarifa muhimu ya mauzo.
 
Duh kiongozi umetoa elimu kwa mlipa kodi watu wote kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…