Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Wakuu na wadau wa soka naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa club yetu kubwa ya yanga afrikani kuandikishwa kwenye mpango wa kunusuru kaya masikini nchini (TASAF).
Kwani kwa kufanya hivyo kutaweza kuinusuru timu yetu kuingia kwenye ukata wa kupindukia.
Sifa za mtu kujiunga na mfuko wa kunusuru kaya masikini tasaf zikoje wakuu?. Kama zinaendana na zile za yanga ni vizuri club ikaunganishwa huko.
Sent using Jamii Forums mobile app