Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Aisee toka mshinde mmetukalia koo balaa. Tuacheni tupumue basi kha!!
Barafu la moto
Yaap, mana kuna sms za watu wasiojulikana wanakwambia tuma ile pesa kwenye namba hii jina Njopino Michael ile namba yangu imefungiwa, sio hawa jamaa wa jangwani kweli?😴Wakuu na wadau wa soka naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa club yetu kubwa ya yanga afrikani kuandikishwa kwenye mpango wa kunusuru kaya masikini nchini (TASAF).
Kwani kwa kufanya hivyo kutaweza kuinusuru timu yetu kuingia kwenye ukata wa kupindukia.
Sifa za mtu kujiunga na mfuko wa kunusuru kaya masikini tasaf zikoje wakuu?. Kama zinaendana na zile za yanga ni vizuri club ikaunganishwa huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mtani. Katika Yanga ninaowaheshimu mmojawapo ni wewe.Aisee toka mshinde mmetukalia koo balaa. Tuacheni tupumue basi kha!!
Barafu la moto
Wakuu na wadau wa soka naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa club yetu kubwa ya yanga afrikani kuandikishwa kwenye mpango wa kunusuru kaya masikini nchini (TASAF).
Kwani kwa kufanya hivyo kutaweza kuinusuru timu yetu kuingia kwenye ukata wa kupindukia.
Sifa za mtu kujiunga na mfuko wa kunusuru kaya masikini tasaf zikoje wakuu?. Kama zinaendana na zile za yanga ni vizuri club ikaunganishwa huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huko Simba wana nini ?! Pesa si za MOH Dewji !! Simba wana nini cha kuwabeza Yanga ?!.Pole mtani. Katika Yanga ninaowaheshimu mmojawapo ni wewe.
Ni utani tu mtani. Take it as it is Utani.
Mkuu Mo ana hisa 49% na Wanachama wana 51%.Kwani huko Simba wana nini ?! Pesa si za MOH Dewji !! Simba wana nini cha kuwabeza Yanga ?!.
Ila hongereni kwa ushindi na hatua mlioyoifikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mo ana hisa 49% na Wanachama wana 51%.
Ngumu kuelewa???