Hivi haiwezekani kukamilisha upepelezi wa kesi ya mtuhumiwa yeye akiwa uraiani?

Hivi haiwezekani kukamilisha upepelezi wa kesi ya mtuhumiwa yeye akiwa uraiani?

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
717
Reaction score
459
Kwa wataalamu wa sheria,napenda kujua kuwa je,hamruhusiwi kisheria kukamilisha upelelezi wa mtuhumiwa wakati yeye yupo uraiani,,naona kuna watu wanakaa mahabusu mda mrefu na wakienda mahakamani wanaambiwa waendelee kukaa rumande hii imekaaje,,,!!
 
There is no limitation of time to complete investigation, but mahakama yaweza kuifuta KESI ikiwa kuna uchelewshaji KESI
 
There is no limitation of time to complete investigation, but mahakama yaweza kuifuta KESI ikiwa kuna uchelewshaji KESI
Ili kuonekane kuna ucheleweshaji wa Kesi, Kesi inabidi iwe imedumu kwa kipindi gani?
 
Kama lile jamaa limechoma mke kwa mkaa na linatisha watu mahakamani

Vipi likiachiwa
 
Kimsingi na kitaaluma inatakiwa iwe ivyo. Tatizo ni taaluma kwa vyombo na watumishi wetu
 
Back
Top Bottom