jaruri JF-Expert Member Joined Jul 16, 2014 Posts 717 Reaction score 459 Aug 19, 2019 #1 Kwa wataalamu wa sheria,napenda kujua kuwa je,hamruhusiwi kisheria kukamilisha upelelezi wa mtuhumiwa wakati yeye yupo uraiani,,naona kuna watu wanakaa mahabusu mda mrefu na wakienda mahakamani wanaambiwa waendelee kukaa rumande hii imekaaje,,,!!
Kwa wataalamu wa sheria,napenda kujua kuwa je,hamruhusiwi kisheria kukamilisha upelelezi wa mtuhumiwa wakati yeye yupo uraiani,,naona kuna watu wanakaa mahabusu mda mrefu na wakienda mahakamani wanaambiwa waendelee kukaa rumande hii imekaaje,,,!!
L Lukome Member Joined Jul 14, 2018 Posts 19 Reaction score 16 Aug 19, 2019 #2 There is no limitation of time to complete investigation, but mahakama yaweza kuifuta KESI ikiwa kuna uchelewshaji KESI
There is no limitation of time to complete investigation, but mahakama yaweza kuifuta KESI ikiwa kuna uchelewshaji KESI
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Aug 19, 2019 #3 Lukome said: There is no limitation of time to complete investigation, but mahakama yaweza kuifuta KESI ikiwa kuna uchelewshaji KESI Click to expand... Ili kuonekane kuna ucheleweshaji wa Kesi, Kesi inabidi iwe imedumu kwa kipindi gani?
Lukome said: There is no limitation of time to complete investigation, but mahakama yaweza kuifuta KESI ikiwa kuna uchelewshaji KESI Click to expand... Ili kuonekane kuna ucheleweshaji wa Kesi, Kesi inabidi iwe imedumu kwa kipindi gani?
Kamwene kamwene JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1,159 Reaction score 2,601 Aug 19, 2019 #4 Ukija mtaani utapoteza baadhi ya ushahidi na utaharibu upelelezi
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,685 Reaction score 12,000 Aug 19, 2019 #5 Kama lile jamaa limechoma mke kwa mkaa na linatisha watu mahakamani Vipi likiachiwa
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 Aug 23, 2019 #6 Kamwene kamwene said: Ukija mtaani utapoteza baadhi ya ushahidi na utaharibu upelelezi Click to expand... Toa na mifano yenyewe haswa kwa kutumia scenario
Kamwene kamwene said: Ukija mtaani utapoteza baadhi ya ushahidi na utaharibu upelelezi Click to expand... Toa na mifano yenyewe haswa kwa kutumia scenario
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Aug 23, 2019 #7 Kimsingi na kitaaluma inatakiwa iwe ivyo. Tatizo ni taaluma kwa vyombo na watumishi wetu