HIVI HAJA NDOGO INAAMBUKIZA?

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Habarini za mida wana JF.
Hivi ulishawahi ku note hiki kitu hasa kwa wanaume, ulishawahi kuwa unapita maybe kwenye njia fulani halafu uko na wenzio au kuna watu wanakuja either mbele yako au nyuma yako ghafla ukabanwa na haja ndogo.

Wakati unaamua kujisaidia pembeni, wengine nao wanajisaidia! Au mko shambani mnalima wewe ukaamua kujisaidia ghafla na mmoja wapo au kama sio wote na wao wanajisaidia.

Hivi kuna sababu gani unayopelea watu kushikwa haja ndogo kwa wakati mmoja hususan mnapokuwa pamoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just Pschological factor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…