G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Yanga mmefanya kitu kizuri Sana Kwa kumzuia huyu domo bwaku kutoongelea maswala ya Yanga.
Ndo anazidi kuporomoka hivyo, siku hizi hawezi posti chchte, amebaki msemaji wa GSM tu, Hongera Sana Bumbuli. Likae hivyo hivyo na liendelee kukosa air time!