Hivi Haji Manara yupo?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Yanga mmefanya kitu kizuri Sana Kwa kumzuia huyu domo bwaku kutoongelea maswala ya Yanga.

Ndo anazidi kuporomoka hivyo, siku hizi hawezi posti chchte, amebaki msemaji wa GSM tu, Hongera Sana Bumbuli. Likae hivyo hivyo na liendelee kukosa air time!
 
Embu tafuta pesa uwanunulie ndugu zako hata malapa huko vijijini waache kutembea peku, achana na mambo ya watu
 
Vijiwe vya Gahawa siku hizi vimekuwa vingi sana
 
Mara ya mwisho alionekana akiwasili Dar
kiunyonge Terminal 1 JNIA
Your browser is not able to display this video.
 
Yanga mmefanya kitu kizuri Sana Kwa kumzuia huyu domo bwaku kutoongelea maswala ya Yanga.

Ndo anazidi kuporomoka hivyo, siku hizi hawezi posti chchte, amebaki msemaji wa GSM tu, Hongera Sana Bumbuli. Likae hivyo hivyo na liendelee kukosa air time!
Manara yupo sana,mtajamba cheche

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yanga mmefanya kitu kizuri Sana Kwa kumzuia huyu domo bwaku kutoongelea maswala ya Yanga.

Ndo anazidi kuporomoka hivyo, siku hizi hawezi posti chchte, amebaki msemaji wa GSM tu, Hongera Sana Bumbuli. Likae hivyo hivyo na liendelee kukosa air time!
Likae hivyo hivyo na liendelee kukosa air time![emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…