Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaaaahKwa mtazamo wa mashabiki wa timu fulani hivi.
Umeshasema baadhi, ina maana baadhi wengine wanaona haki imetendeka. Isikuumize kichwa, hayo ni maoni yao, na wewe shika maoni yako. Hata nao wanakushangaa kusema kwamba haki imetendeka !Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande??? Je ilikuwa ni lazima Feisal ashinde?
Inafikirisha sana, Nyuma ya huu upumbavu wa Fei Kuna madudu mengi sanaHii kesi kama itaendeshwa Kwa haki Feisal hawezi kushinda, kama tuna kumbuka wakati shauli linasikilizwa Kwa mara ya kwanza Kwa mujibu wa taarifa ya kamati , Wakili wa Yanga aliomba aweze kumhoji Feisal Moja Kwa Moja juu ya hoja zake za Kuvunja mkataba...
Tukiongozwa na waandishi hakina Bibti Kazumali sababu hakuna cha ubingwa tumebakia kupika majingu ili kujifaroji maisha yaendeKwa mtazamo wa mashabiki wa timu fulani hivi.
Hakuna kokote nilikosema haki imetendeka. Nimeuliza swali. Sidhani kama kuna anayenishamgaa zaidi ya weweUmeshasema baadhi, ina maana baadhi wengine wanaona haki imetendeka. Isikuumize kichwa, hayo ni maoni yao, na wewe shika maoni yako. Hata nao wanakushangaa kusema kwamba haki imetendeka !
DuuuuhHii kesi kama itaendeshwa Kwa haki Feisal hawezi kushinda, kama tuna kumbuka wakati shauli linasikilizwa Kwa mara ya kwanza Kwa mujibu wa taarifa ya kamati , Wakili wa Yanga aliomba aweze kumhoji Feisal Moja Kwa Moja juu ya hoja zake za Kuvunja mkataba.
Mawakili wa Feisal walikataa mteja wao asihojiwe juu ya Sababu ya Kuvunja mkataba na ndio ilikua hoja ya Msingi.
Baada ya Mawakili wa Yanga na Feisali kuwasilisha utetezi wao juu ya hoja husika.
Kamati ikawapa ushindi Yanga.
Ila kamati iliomba kukutana na Feisal faragha na kumsikiliza Nini kilimfanya avunje mkataba ila maelezo yake hayata tumika katika hukumu ya mwisho.
Wao walitaka kumsikia Feisal shida ni Nini !!!
Waliyokutana nayo ni Siri Yao maana inaonyesha mchezaji hajui haki zake binafsi na haki za kimkataba.
Ndio mambo ya kula ugali na sukari uku ukipeleka mamilioni ya Kuvunja mkataba kwenye account ya mwajiriwako.
Unakula ugali na sukari uku ukiwa na mamilioni ya kupanda Ndege nakwenda Dubai kufanya training.
Nchi Ina vituko sana hii[emoji3][emoji3][emoji3]
SaanaTukiongozwa na waandishi hakina Bibti Kazumali sababu hakuna cha ubingwa tumebakia kupika majingu ili kujifaroji maisha yaende
Sababu Yanga haistahili kutendewa haki..Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande??? Je ilikuwa ni lazima Feisal ashinde?
Rage apewe PhD ya heshima.Kwa mtazamo wa mashabiki wa timu fulani hivi.
OooohSababu Yanga haistahili kutendewa haki..
Sababu inaonekana mchezaji ni mdogo na mnyonge kuliko klabu..
Hii inahusiana vipi na haki yake kimkataba?Hataki haya mambo
View attachment 2535334
Sahihi kabisaRage apewe PhD ya heshima.
Sahih kbsaKwa mtazamo wa mashabiki wa timu fulani hivi.
Tff ipige kwenye mshono pale pale Hadi huyo mam na mwanae wapige mayoe had namba moja aingilie Kati ingawa naona dalili za namba moja kuingillia hili na ushindi atapewaa huyo kijana wao shenzi typuHii kesi kama itaendeshwa Kwa haki Feisal hawezi kushinda, kama tuna kumbuka wakati shauli linasikilizwa Kwa mara ya kwanza Kwa mujibu wa taarifa ya kamati , Wakili wa Yanga aliomba aweze kumhoji Feisal Moja Kwa Moja juu ya hoja zake za Kuvunja mkataba.
Mawakili wa Feisal walikataa mteja wao asihojiwe juu ya Sababu ya Kuvunja mkataba na ndio ilikua hoja ya Msingi.
Baada ya Mawakili wa Yanga na Feisali kuwasilisha utetezi wao juu ya hoja husika.
Kamati ikawapa ushindi Yanga.
Ila kamati iliomba kukutana na Feisal faragha na kumsikiliza Nini kilimfanya avunje mkataba ila maelezo yake hayata tumika katika hukumu ya mwisho.
Wao walitaka kumsikia Feisal shida ni Nini !!!
Waliyokutana nayo ni Siri Yao maana inaonyesha mchezaji hajui haki zake binafsi na haki za kimkataba.
Ndio mambo ya kula ugali na sukari uku ukipeleka mamilioni ya Kuvunja mkataba kwenye account ya mwajiriwako.
Unakula ugali na sukari uku ukiwa na mamilioni ya kupanda Ndege nakwenda Dubai kufanya training.
Nchi Ina vituko sana hii[emoji3][emoji3][emoji3]
huo ndio ujinga wa watu wengi walionyuma ya feiBaada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande?
Je, ilikuwa ni lazima Feisal ashinde?
Ukiongea unaitwa shabiki wa Yanga. Kama kuacha kazi kungekuwa rahisi kama kutema mate mbona waajiri wangepata taabu Sana?Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande?
Je, ilikuwa ni lazima Feisal ashinde?