Hivi haki kutendeka ni lazima Feisal ashinde?

Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande??? Je ilikuwa ni lazima Feisal ashinde?
Umeshasema baadhi, ina maana baadhi wengine wanaona haki imetendeka. Isikuumize kichwa, hayo ni maoni yao, na wewe shika maoni yako. Hata nao wanakushangaa kusema kwamba haki imetendeka !
 
Reactions: Tsh
Hii kesi kama itaendeshwa Kwa haki Feisal hawezi kushinda, kama tuna kumbuka wakati shauli linasikilizwa Kwa mara ya kwanza Kwa mujibu wa taarifa ya kamati , Wakili wa Yanga aliomba aweze kumhoji Feisal Moja Kwa Moja juu ya hoja zake za Kuvunja mkataba.

Mawakili wa Feisal walikataa mteja wao asihojiwe juu ya Sababu ya Kuvunja mkataba na ndio ilikua hoja ya Msingi.

Baada ya Mawakili wa Yanga na Feisali kuwasilisha utetezi wao juu ya hoja husika.
Kamati ikawapa ushindi Yanga.

Ila kamati iliomba kukutana na Feisal faragha na kumsikiliza Nini kilimfanya avunje mkataba ila maelezo yake hayata tumika katika hukumu ya mwisho.

Wao walitaka kumsikia Feisal shida ni nini?

Waliyokutana nayo ni Siri Yao maana inaonyesha mchezaji hajui haki zake binafsi na haki za kimkataba.

Ndio mambo ya kula ugali na sukari uku ukipeleka mamilioni ya Kuvunja mkataba kwenye account ya mwajiriwako.

Unakula ugali na sukari uku ukiwa na mamilioni ya kupanda Ndege nakwenda Dubai kufanya training.
Nchi Ina vituko sana hii[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inafikirisha sana, Nyuma ya huu upumbavu wa Fei Kuna madudu mengi sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umeshasema baadhi, ina maana baadhi wengine wanaona haki imetendeka. Isikuumize kichwa, hayo ni maoni yao, na wewe shika maoni yako. Hata nao wanakushangaa kusema kwamba haki imetendeka !
Hakuna kokote nilikosema haki imetendeka. Nimeuliza swali. Sidhani kama kuna anayenishamgaa zaidi ya wewe
 
Duuuuh
 
Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande??? Je ilikuwa ni lazima Feisal ashinde?
Sababu Yanga haistahili kutendewa haki..
Sababu inaonekana mchezaji ni mdogo na mnyonge kuliko klabu..
 
Tff ipige kwenye mshono pale pale Hadi huyo mam na mwanae wapige mayoe had namba moja aingilie Kati ingawa naona dalili za namba moja kuingillia hili na ushindi atapewaa huyo kijana wao shenzi typu

GENTAMYCINE njoo wasome wachambuz makini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande?

Je, ilikuwa ni lazima Feisal ashinde?
huo ndio ujinga wa watu wengi walionyuma ya fei
 
Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande?

Je, ilikuwa ni lazima Feisal ashinde?
Ukiongea unaitwa shabiki wa Yanga. Kama kuacha kazi kungekuwa rahisi kama kutema mate mbona waajiri wangepata taabu Sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…