Hivi hakuna app za Magari zaidi ya Kupatana na Jiji

Hivi hakuna app za Magari zaidi ya Kupatana na Jiji

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Wadau habari.Hivi nauliza hakuna app za kuuza na kununua magari zaidi ya kupatana na Jiji.
Na je hakuna channel au magroup ya wauza magari.Si unajua tena najitagutia ka mkweche.
 
Instagram Kuna account kibao za kuuza na kununua magari kwa sasa.
Ni best kuliko Jiji na hizo nyingine z mtaan
Maana insta page Wana update daily kila siku na option za exchange zipo mno
 
Back
Top Bottom