inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Gari ya million 6,7,8,9 na kumi ndio uhangaike hivyo kwenye App zote?Wadau habari.Hivi nauliza hakuna app za kuuza na kununua magari zaidi ya kupatana na Jiji.
Na je hakuna channel au magroup ya wauza magari.Si unajua tena najitagutia ka mkweche.
Kimfaacho mtu chake!Gari ya million 6,7,8,9 na kumi ndio uhangaike hivyo kwenye App zote?
Aseme gari anayoitamani na bajeti yake.Kimfaacho mtu chake!
Sijawahi ielewa hio kitu.Jaribu casandra, tambua kuna malipo kuitumia fully