Hivi hakuna madaktari wa magonjwa ya kiume

Hivi hakuna madaktari wa magonjwa ya kiume

Naloli

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
416
Reaction score
81
Wana JF naomba kuuliza hivi hakuna daktari wa magonjwa ya kiume, maana nasikia madaktari wa magonjwa ya kina mama na watoto tu?
 
yaani
wanajiita eti mabingwa wa magonjwa ya wanawake
wakati wengi wao ni madume yenye tamaa na wake za watu...

na unawalipa pesa kumvua nguo mkeo....
 
Wale wanaojitangaza kuongeza ukubwa wa mambo au kusaidia mambo kufanya kazi vizuri nadhani wana umaarufu kuliko hata hawa wa wanawake..
 
wapo.... ndio hao hao ma urologist ! "huku twawaita Dick doctors" nasikia bongo ni HOT CAKE... i might go for it
 
Back
Top Bottom