Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Ilifikia hatua ikabidi nizoee, kushtuliwa kwa simu kuita kwa namba ngeni kisha nikipokea naskia robo calls/automated calls za matangazo either ya kunishawishi kujiunga na ringtones n.k, SMS ndio nyingi kila mara. Ni kero kubwa ambayo wengi inawapata.
Cha ajabu zaidi, leo imepigwa simu kutoka Airtel na kwenye screen inaonyesha contact name iliyoko kwenye simu yangu, yaani mfano" My wife: Calling". Hiyo contact ni mtu anayenidai.
Kwakweli moyo uliniruka vibaya, ila ikabidi nipokee tu, mara naskia "Karibu Airtel..." nikaanza kusikilizishwa nyimbo mfululizo, nilitamani niipasue simu yangu.
Hakuna sheria inayonilinda dhidi ya huu ufedhuli?