Hivi hakuna teknolojia nzuri ya kurudishia "mabampa" ya magari

Hivi hakuna teknolojia nzuri ya kurudishia "mabampa" ya magari

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
48,052
Reaction score
104,677
Wakuu,

Naomba kujua toka kwa mafundi na wenye uzoefu, hivi hakuna teknolojia nzuri ya kurudishia mabampa ya hizi gari? Maana naona gari nyingi sasa hivi tena "mpya kutoka Japan" zinang'oka sana mabampa yake.

Nimekutana na Lexus RX300 ina misumari ya gypsum boards balaa, yaani hadi uzuri wa gari umepotea kabisa. Gari ni DN.. lakini imejaa screw za gypsum. Sio hilo tu, zipo IST, Noah, Ipsum, Isis nk nyingi tu zipo ovyo sana mabampa yake.

Wataalamu tiririkeni hapa, kwamba mmeshindwa au ni ubahili wa wenye vyombo vyao.
 
Nenda spring city pale.....wanajua watadeal vipi na hiyo shida....
 
Back
Top Bottom