Hivi hakuna uwezekano CCM ikaungana na CHADEMA kuelekea uchaguzi 2025 ?

Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .

Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .

Muwe na siku njema
uwezekano mkubwa zaidi ni chadema kukataa katu katu kuungana na ACT wazalendo, kwasababu binafsi za kihistoria miongoni mwa baadhi ya waandamizi wake wenye nguvu chamani humo 🐒
 
Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .

Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .

Muwe na siku njema
Labda chadema ya 🇷🇼
 
Siku CHADEMA wakiungana na CCM, ndio kifo rasmi cha CHADEMA.

“Best brains”? Hiyo ni sumu mbaya sana. Lengo ni kumaliza upinzani nchini. Nani aliyetoka CHADEMA anayesikika tena huko CCM?
 
Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .

Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .

Muwe na siku njema
Chadema haitaweza kumkufuru Mungu na kuungana na Shetani
 
Back
Top Bottom