Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Future impossible tenseNaona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .
Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .
Muwe na siku njema
uwezekano mkubwa zaidi ni chadema kukataa katu katu kuungana na ACT wazalendo, kwasababu binafsi za kihistoria miongoni mwa baadhi ya waandamizi wake wenye nguvu chamani humo 🐒Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .
Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .
Muwe na siku njema
Upi huo ?Waungane vipi zaidi ya huu muungano uliopo......
Labda chadema ya 🇷🇼Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .
Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .
Muwe na siku njema
sasa CdM and Ccm si wale wale tuMafuta hayachangamani na maji. Ukitaka kunielewa tumia mfano wa relative density
Wa kulambishana asaliUpi huo ?
😆😆😆Wa kulambishana asali
Chadema haitaweza kumkufuru Mungu na kuungana na ShetaniNaona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .
Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .
Muwe na siku njema
AiseeChadema haitaweza kumkufuru Mungu na kuungana na Shetani