EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Nataka kujua iwapo nanua kitu online mfano Amazon au ali express pengine kinauzwa $50,na nitahitajika kujaza namba za visa card yangu.Nataka kujua mtu hawezi kuzitumia hizo namba za visa card kuniibia hela zangu benki.Na je itakuwaje mwenye site nayonunua kitu mfano akibadilisha figure ya bei ya kitu kwenye site yake ili ionekane bei ya hicho kitu ni zaidi kuliko bei halisi ya hicho kitu.Mfano kitu kinauzwa $20 yeye akabadili ikawa $200.Nataka nifahamu hapa inawezekana kweli mtu huyo akachukua hela kwenye akaunti yako zaidi ya ile inayotakiwa(bei halisi ya kitu)