EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Thread closedHakuna wa kukuibia,,,,, Hawa watu wanafanya biashara kwa uaminifu
ni kama hujaelewa,mtu akiamua kutokuwa mwaminifu hawezi kuchenji hizo figure?Hakuna wa kukuibia,,,,, Hawa watu wanafanya biashara kwa uaminifu
kwani ni makalio haya ambayo unaweza kuopen na kucloseThread closed
Mimi huwa ninaagiza lkn sijawahi kuibiwa. Kwa ushauri fungus account ambayo kadi yake itakuwa Ni kwa matumizi kama hayo tu na pia usiweke hela nyingi.Nataka kujua iwapo nanua kitu online mfano Amazon au ali express pengine kinauzwa $50,na nitahitajika kujaza namba za visa card yangu.Nataka kujua mtu hawezi kuzitumia hizo namba za visa card kuniibia hela zangu benki.Na je itakuwaje mwenye site nayonunua kitu mfano akibadilisha figure ya bei ya kitu kwenye site yake ili ionekane bei ya hicho kitu ni zaidi kuliko bei halisi ya hicho kitu.Mfano kitu kinauzwa $20 yeye akabadili ikawa $200.Nataka nifahamu hapa inawezekana kweli mtu huyo akachukua hela kwenye akaunti yako zaidi ya ile inayotakiwa(bei halisi ya kitu)
sawa mkuuMimi huwa ninaagiza lkn sijawahi kuibiwa. Kwa ushauri fungus account ambayo kadi yake itakuwa Ni kwa matumizi kama hayo tu na pia usiweke hela nyingi.
unielewe kwa muktadha huu,Huyo ambaye natakiwa ninunue kitu kwake hawezi kurequest hela zaidi ya inayotakiwa yaani bei ya kitu?? ndio point angu ya msingi na nurseryHakuna wa kukuibia.... Card na Bank details zako ziko secured.