Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Lakini katika mazingira hayo kipaumbele kimebadilika.
 
Huyu analake jambo si bure.
 
Ja
Kusaidia ni sawa,mfano huwezi ukapeleka nguo za mwanao peke ake wakati kuna watoto wengine, utapeleka nguo, vitu vitu vya watoto, msosi ndio hadi na ada???
Okay na huyo jamaa anaepeleka hadi friji?
Japo kuwa tembo hashindwi na uzito wa mkonga wake hapo mimi hapana yapo mambo ya msingi lazima nitafanya ila mpaka jokofu tena na ada juu hilo zito kwangu na kama anafanya hivyo hapo kiporo lazima moto mdogo tu.
 
Kaboom msome jamaa afu umtetee teh
Huyo jamaa kiazi..Na mke wake kiazi pia..Mke Ameingia kwenye ndoa jamaa tayari akiwa na mtt..So kabla ya ndoa mwanamke alitakiwa kumsoma jamaa kwa uzuri ili ajilidhishe na kama alikuwa anajua jamaa anahudumia nje alitakiwa ajipime kama ataweza kuvumilia hiyo kitu...
 
Wife alijua jamaa jamaa anahudumia mwanae tu ndo baadae Kuja kujua kumbe hadi na wengine anahudumia
 
hu
Aah gelofriend unawasingizia tu bana, baby daddy's hawapashagi uporo wala kuchemsha chai. Wana upendo tu wa agape kwa mtoto na ndugu za mtoto hapo nyumbani. Ila single mothers sasa mwee
Naomba kuuliza swali la kizushi..

Huyo single mama anapasha kiporo na nani ama katika jiko gani kama sio la kwa baby dady..!?
Ama ndio wanakuwa wanagongeka ovyo ile ya fungulia mbwa..Hvo wanapashwa na kila anaejua kumtongoza!?
😵
 
Shikamooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…