Marahaba mupenziShikamooo
Nope..atleast kunakuwa na afadhali..Hususani ukiwa na mwanaume kiazi..Unless kama unaweza kumrudisha kwenye lineKwahiyo kama anapata freshi tu eti?
ndo maana yake,huduma nitoe bure?Kama huduma zenyewe ndo hizo, siku ukienda kumuona mtoto si utakua kama hicho kikatuni
[emoji57]Marahaba mupenzi
Mmmh!! Ngoja niendelee kuwazaNope..atleast kunakuwa na afadhali..Hususani ukiwa na mwanaume kiazi..Unless kama unaweza kumrudisha kwenye line
[emoji57]
Teh teh..Unasonya vizuri..Hadi raha
Mpendwa hivi hata m1 ya bajeti ya familia moja ni sawa sawa na hiyo inayogawanywa kwenye familia nyingine?Ok..Life ndani ya ndoa limebadilika?..Wife hapati matunzo?
Well saidKumsaidia mwanao tu huku wadogo zake wana shida ni kuwaumiza watoto kisaikolojia
ukisadia saidia watoto wote wanaocheza na mwanao
wakifurahi wote na mwanao atafurahi....
Hahhaha just read between the lines mpendwahu
Naomba kuuliza swali la kizushi..
Huyo single mama anapasha kiporo na nani ama katika jiko gani kama sio la kwa baby dady..!?
Ama ndio wanakuwa wanagongeka ovyo ile ya fungulia mbwa..Hvo wanapashwa na kila anaejua kumtongoza!?
😵
Teh si unajua binadamu kwa kujipendeleaLakini katika mazingira hayo kipaumbele kimebadilika.
Usiseme hivyo sema kupendeleana,ikitokea hivyo ujue kila mmoja anajutia kwa kilichotokea Nyuma.Teh si unajua binadamu kwa kujipendelea
Siku zote kila mtu anataka akifanya yeye iwe sawa tu, ila wakifanya wenzake si sawa mmhUsiseme hivyo sema kupendeleana,ikitokea hivyo ujue kila mmoja anajutia kwa kilichotokea Nyuma.
Hahaha ila hiyo iko pande zote mbili maana nahisi unataka kuelekezea upande mmoja tu...Siku zote kila mtu anataka akifanya yeye iwe sawa tu, ila wakifanya wenzake si sawa mmh
Huyu jamaa ana ndoa, ila pia ana mtoto mmoja aliyempata kabla hajaoa sijui nini kilitokea hadi hakumuoa huyo mama mtoto ila kwa umbea naweza kufatilia teh, mama mtoto alishaendelea na maisha yake akazaa watoto wengine wawili....jamaa anahudumia mwanae ila pia anahudumia hao watoto wengine analipa hadi ada....sio vibaya kusaidia kama kuna uwezo ila kuna haja gani ya kufanya hivo ilhali ana familia yake tayari kwanini yule asibaki tu mzazi mwenzie ahudumie tu mwanae full stop. Mkewe hayupo comfortable na hizo huduma ila pia naona hawezi kuuliza anakufa zake kijerumani tai shingoni.... Ila hata mi sioni sababu ya jamaa kubeba zigo la majukumu kama mme vile sijui nipo sawa au nna roho mbaya lol
Huyu jamaa mwingine ni schoolmate, kaoa muda si mrefu na hapa juzi juzi kapata mtoto, nikampa hongea kwa kuwa baba, akajibu anashukuru ila amekua baba kwa mara ya pili nikaguna Kimoyo moyo nikamuuliza mtoto mwingine,story zikaendelelea.....tukahamia kuwa hali ngumu hela ya manati, akasema hana kitu katoka kumnunulia mzazi mwenzie friji,nkamuuliza wife anajua akasema hapana mmmh nkabaki kutoa macho tu, hivi huo uzazi wenza hauna mipaka ya huduma? Hivi si hadi bra unaeza peleka? Mi naona kwa huduma hizo kifuatacho itv ni hiki
View attachment 307162
Mtazamo tu pendaneni mwayego......
💃🏻 💃🏻 💃🏻 💃🏻
Hahaha ila hiyo iko pande zote mbili maana nahisi unataka kuelekezea upande mmoja tu...
huyo limbuken tu,pengine kambla hawajaseparate alikua hata hela ya pipi hatoi
u
Bra unapeleka ndio Mpendwa. Inahifadhi chakula cha mwanao. Besides, make a mother happy, she'll raise better kids.
Mmh em ngoja tusikie leo kutoka kwa wababa zaidi. Maana kwa wanawake jinsi tulivyo hilo somo ni gumu sana, tutakimbilia tu kusema " mlete akae hapahapa home" (ili mume apunguze huduma za nje) .Katoto kakifika sasa mwee, ni watoto wachache watakaokuwa salama
Wasaidie wengine kila upatapo nafasi
Gelofriend kuna thread moja waliulizwa kuhusu kuoa mwanamke mwenye mtoto, walimiminika hao utadhani wamemwagiwa mayai wengi wakidai hawawezi kuhudumia damu ya mwanaume mwingine, ooh hawawezi kuishi na familia ya mtu(mtoto wa mtu) .....bila shaka leo upepo wao utabadilika mioyo yao itakua milaini kama viazi vitamu vilivoungwa na karanga