Mtu yeyote anayetaka haki ionekane inatendeka na ni wa kuungwa mkono. Siku ukikoseshwa haki unayostahiki Kwa uzembe wa Hakimu/Jaji au mwamuzi ndo utajiona wa ovyo kupinga watetezi wa haki.Siamini wazee wanaweza kukosa busara kiasi hicho hadi baadhi ya watu wanasema kuwa leo ndio wameamini hata wahuni huzeeka.
Chonde chonde msiwasingizie wazee wa watu kutaka kufanya jambo la kipuuzi namna hiyo...
Haji Manara alishasema kuwa huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu waliobakia wote ni mazwazwaSiamini wazee wanaweza kukosa busara kiasi hicho hadi baadhi ya watu wanasema kuwa leo ndio wameamini hata wahuni huzeeka.
Chonde chonde msiwasingizie wazee wa watu kutaka kufanya jambo la kipuuzi namna hiyo ijapokuwa Manara alisema huko yanga
wenye akili ni wawili tu,naamini hakuwa anazungumzia hii akili ya kawaida yakuvaa suruali na shati.
Ila kama ni kweli hawa wazee hawajasingiziwa,basi kumbe usemi wa yule jamaa ulikuwa sahihi. Rais ashughulikie matatizo ya waamuzi?
Hii ni dalili yakushindwa
ππππHaji Manara alishasema kuwa huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu waliobakia wote ni mazwazwa