Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muacheni kijana wa watu,wakati anahangaika kutafuta maisha alikuwa pekee yake sasa hivi ametoboa ndyo mnataka aishi kama mnavyotaka ninyi...huo ni ujinga!
Hahahaa hahahaaaa haha Mbavu zangu jamani
You are cursed!!Mwanaume huwa anasukwa??![emoji15][emoji15][emoji15]Anayemsuka ndo tatizo,,,hamsuki vizuri ni anajifunza kusuka