Hivi hapa DSM wapi naweza pata sehemu nzuri ya bei ya kawaida ya kupa rangi na kunyosha gari kitaalamu?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Kama unajua mahali wanaweza paka rangi vizuri na KUNYOOSHA body vizuri sio kupiga piga na kupaka putty [emoji23] pia ku spry gari ionekane kama haijawahi pakwa rangi.

Usiniambie niende AZAM nasikia bei unanunua Vitz mpaka IST [emoji23]
 
gari iwe kama haijawahi kupakwa rangi? kwani we uliikuta ikiwa haina rangi??
 
Usijaribu kwenda kwa mafundi wa chini ya mwembe watatumia rangi ya Coral paints
 
Back
Top Bottom