rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,238
- 5,106
Wakuu naomba tujadili hili. Kwenye kikaokinachoendelea cha bunge la katiba zililetwa nyaraka za kughushi kama hati ya muungano. Hivi baada ya kuoneka kama ni nyaraka feki, mbona hakuna anaeongelea makosa haya. Nani kaghushi sahihi? Mi naona kabla ya kujadili muungano hili suala la kughusi sahihi lipelekwe haraka sana mahakamani.