hivi hapa JF...wakaka

pauline

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2010
Posts
650
Reaction score
140

yupo aliye fit namna hii????nimeona mahali kuna BABU humu wa kukagua sijui matiti ya wadada kwa ajili ya wapwazzz wa kiume.....jamani mie najitolea kuwa BIBI wa kukagua wakakazzzzzzzzz kwa wadada wa JF....:msela::msela::msela::hungry::hungry:😛eace:
 
Pauline,
utafanya full inspection? mpaka engine?
kwa jicho tu, au mikono pia...na ikibidi utatumia vifaa vyengine kufanikisha ukaguzi huo ili kina dada wapate mali iliyopasishwa vyema?
kweli unayaweza...umejitolea kwa hili..hongera mama!!
 
Masaa yote wamekaa chini wakisurf jf mpaka saa nane usiku mazoezi watafanya saa ngapi ili wawe hivyo? Labda wale wa asubuhi mpaka saa kumi then mazoezini
 
Masaa yote wamekaa chini wakisurf jf mpaka saa nane usiku mazoezi watafanya saa ngapi ili wawe hivyo? Labda wale wa asubuhi mpaka saa kumi then mazoezini

mnh hili sasa dongo la wengi wana JF....lol:A S 20:
 
Pauline,
utafanya full inspection? mpaka engine?
kwa jicho tu, au mikono pia...na ikibidi utatumia vifaa vyengine kufanikisha ukaguzi huo ili kina dada wapate mali iliyopasishwa vyema?
kweli unayaweza...umejitolea kwa hili..hongera mama!!

mambo Nonda,
umempenda nani kwani hapa JF nikusaidie ukaguzi?lol....inategemea mdada anatakaje km full inspection niko tayari kusaidia lol:laugh::laugh::coffee:
 
hivi ukitaka kuquote watu wawili na zaidi unafanyaje?lol
 
sasa huyu mbona shoga?

hivi kwa nini tabia ya kubrand mashoga wanaume wanaofanya kazi ya umodelling??...tuache hizi stereotypes jamani ni kazi kama kazi nyengine...unless Hashycool unajua lingine kuhusu huyu kaka ambalo me silifahamu:coffee::sick::sick:
 
Unatafuta mchumba au mume? Hiyo ya ubaunsa siyo sifa mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…