Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi hapa Simba inamtapeli nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv mbumbumbu na NYANI kp kituko zaid? Let us discussMO ameshajua anawaongoza mbumbumbu fc kwaiyo amewawekea mdundo ambao watafurahia ku ucheza, wakienda kwenye mashindano ya Caf wakipigwa anaye fuatia ni kishingo kutolewa kafara.
Mo amewaingiza chamani bila kujijuaNaona humu zimeingia siasa za mpira
Mkuu aliyeanza ni MO na nina hakika hili jambo litawapa tabu sana wanasimbaNaona humu zimeingia siasa za mpira