Hivi hapa Simba inamtapeli nani?

Zile nne pia MO alitutapeli jamani tulifukua maiti na kupiga fimbo. Mashabiki wa Yanga kwa kweli ni manyani badala ya kuangalia mtafanya nini msimu ujao, mnakomaa na Simba iliyo wazidi kila kitu.
 
MO ameshajua anawaongoza mbumbumbu fc kwaiyo amewawekea mdundo ambao watafurahia ku ucheza, wakienda kwenye mashindano ya Caf wakipigwa anaye fuatia ni kishingo kutolewa kafara.
Hv mbumbumbu na NYANI kp kituko zaid? Let us discuss

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Hata zile nne (4) ulikuwa utapeli wa TFF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…