Hivi hapa vifaa vipya vya Simba Sc

Hivi hapa vifaa vipya vya Simba Sc

ISRAEL JR

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
1,523
Reaction score
758
Nawaonea huruma sana Yanga,

IMG-20220113-WA0013.jpg

IMG-20220113-WA0012.jpg
 
Mukokovich c alitufunga mbili akiwa kaizer chiefs imekuwaje yuko simba kaizer wamefilisika!
 
Kweli wewe ni Kolombwezo.. yaan Makolo Wana ushabiki wakisenge sana.. Sasa galasa linakuja huko kwenu Yanga inawahusu nini..?
Hv mnaamini huyu chama atawaletea ligi mwaka huu...? Yaan msahau kudadadeq Labda mkawatambia Tz prison wanaowafungaga Kila mwaka
 
Umeandika kwa jazba,, hebu kunywa maji kidogo upoze koo
 
Ata ziungane Simba na Yanga bado hazina uwezo wa kumlipa Samir Nurkovic mshahara anao pokea pale Kaizer Chief wa shilingi 145 milioni kwa mwezi. Mbumbumbu fc endeleeni kujitekenya.
 
Kweli wewe ni Kolombwezo.. yaan Makolo Wana ushabiki wakisenge sana.. Sasa galasa linakuja huko kwenu Yanga inawahusu nini..?
Hv mnaamini huyu chama atawaletea ligi mwaka huu...? Yaan msahau kudadadeq Labda mkawatambia Tz prison wanaowafungaga Kila mwaka
Mwaka wa tano huu Utopolo kombe hamlipati , k
 
Moses phiri anafiti..ana kasi,header anapiga na anafunga kwa miguu yote,dribbling na take ones kwenye final third pia yupo poa...Mo awape pesa zanaco tumchukue mtaalamu
 
Kweli wewe ni Kolombwezo.. yaan Makolo Wana ushabiki wakisenge sana.. Sasa galasa linakuja huko kwenu Yanga inawahusu nini..?
Hv mnaamini huyu chama atawaletea ligi mwaka huu...? Yaan msahau kudadadeq Labda mkawatambia Tz prison wanaowafungaga Kila mwaka
Punguza hasira presha itapanda Mkuu Tafuta hill water ujipoze
 
Kweli wewe ni Kolombwezo.. yaan Makolo Wana ushabiki wakisenge sana.. Sasa galasa linakuja huko kwenu Yanga inawahusu nini..?
Hv mnaamini huyu chama atawaletea ligi mwaka huu...? Yaan msahau kudadadeq Labda mkawatambia Tz prison wanaowafungaga Kila mwaka
Shombe shombe
 
Umekula kwanza ama unaungua jua hapo mbagala
 
Back
Top Bottom