Hivi hapa vipengele vya tuzo za Tanzania music awards (TMZ)

Hivi hapa vipengele vya tuzo za Tanzania music awards (TMZ)

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Hivi ndo vipengele vya Tanzania music awards 2024 (TMZ)
1, wimbo bora wa taarab wa mwaka . Malkia Leyla Rashid(watu na viatu), Mwasiti Mbwana(sina wema), Salha (dsm sweetheart), Mwinyimkuu(bila yeye sijiwezi), Amina kidevu(hatuachani)
2,Best male artist of the year. Marioo (shisha), Diamond platnumz, (shu), Harmonize (single again), Ali kiba (sumu), Jaymelody(nitasema),
3,Mwimbaji bora wa muziki wa dansi wa mwaka. Charlzbaba(mmbea), ChristianBella(kanivuruga), MelodyMbassa(Hellena), PappiKocha(jela ya mapenzi), Sarah Masauti(popo),
4,mtozi bora wa muziki wa hip-hop wa mwaka. Black beatz(warrior), Dupybeatz(mr.chrismaspart5), Ommydady(wanangu kibao), Ringle beatz(tribulation), S2kizzy(maokoto),
5.wimbo bora wadancehall wa mwaka. DJ davizo(tinga a ling), planner(you), Bayo the great(nampenda), Appy(mr hater),
6, Mwanamuziki bora wa wimbo wa asili. Nyatigroup(berita), Elizabeth(bodaboda), MwamwindukaBand(usizimemuziki), Sinaubizawose(pesa), Erica lulakwa(aragoba)
7, Tanzania global icon award, Mbwana samatta, Flaviana matata, Clara luvanga, Anisa mpunge, Ramadhani brothers,
8,Wimbo bora wa dansi wa mwaka. Diamond platnumz ft koffi olamide(Achii), MalaikaBand(kanivuruga), melodymbassa(nyoka), Sikinde original(tonge la mwisho), Twanga pepeta(mmbea),
9, Video bora ya mziki muziki ya mwaka. Billnass ft Marioo(maokoto), Diamond platnumz ft koffi olamide(achii), Zuchu ft innos B(NANI REMIX), Harmonize(single again remix), Mbosso(selle),
10, Mwimbaji bora wa kiume wa Bongo flava wa m waka. Marioo, Alikiba, Jay melody, Diamond platnumz,
11, Mtumjbuizaji bora wa kike wa mwaka. Phina, Abigail chams, Zuchu, Lolo da princess.
12,Mtumbuizaji bora wakiume wa mwaka. Diamond platnumz, Alikiba, Harmonize, Christian bella, Mbosso,
13, Mwimbaji bora wakike wa bongo flava wa mwaka,ZUCHU, Appy, Phina, Anjela, Nandy,
14, Albamu bora ya mwaka. Harmonize(visit bongo), D Voice(Swahili kid), Abigail chams (5), Navykenzo(most people want this), Rayvanny(flowers111),
15,Mtozi bora wa muziki wa bongo flava wa mwaka. S2kizzy(Enjoy), Ibrah Jacko(watu feki), Trone(utaniua), Aloneym(sawa), MR.LG(kwa manati),
16, DJ bora wa mwaka. DJ Ommy, DJ Seven worldeide, DJ shana mnyamwezi, DJ AllyB, DJ Mamie,
17, wimbo bora wa singeli wa mwaka, Dulla makabila(nije ama nisije), Rayvanny ft misomisondo(kitukizito), Dogo Elisha(mr dj), Mchina mweusi(nikiacha kama nimeachwa), Hemedy kiduku(taarabu tanzania)













9
 
Niliacha kufuatilia muziki tangu wasanii wengi wawe wala unga

USSR
 
Sijaelewa kitu naona madudu matupu tu
 
Kama ni kweli hawapo serious
 
Back
Top Bottom