Hivi Hassan na Hussein ni jina moja au mawili tofauti?

Hivi Hassan na Hussein ni jina moja au mawili tofauti?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Naona kuna watu wanaitwa Hassan wengine Hussein sasa sijajua ni watu wanakosea kutamka au ni majina tofauti.
 
Majina mawili tofauti. Yanapendeza kwa mapacha
 
Naona kuna watu wanaitwa Hassan wengine Hussein sasa sijajua ni watu wanakosea kutamka au ni majina tofauti.
Ni majina mawili tofauti hasa kwa mapacha
Wajukuu wa mtume kutoka kwa mwanae kipenzi fatma walikua wakiitwa Hassan na Hussein
 
Maria vs Mary
David vs Daud
Joseph vs Joze...

🤔🤔🤷🤷🤷
 
Kuna mzee mmoja alikuwa anaitwa Hassan Hussein, akapata mtoto akampa jina la Hussein, shuleni akawa anaitwa Hussein Hassan basi na utoto ule tulikuwa tunashangaa yaani hamna majina mengine mpaka wageuze hahaha
 
Back
Top Bottom