Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Hapo Ni Kama kutafuta tofauti ya John na Yohana. Nafikiri moja Ni kiingereza na nyingine kiarabu/kiswahili
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naona kuna watu wanaitwa hasan wengine husen sasa sijajua ni watu wanakosea kutamka au ni majina tofauti
asante sana..Majina mawili tofauti. Yanapendeza kwa mapacha
Hujawahi kuona mapacha wanaitwa hassan na husseinNaona kuna watu wanaitwa Hassan wengine Hussein sasa sijajua ni watu wanakosea kutamka au ni majina tofauti.
Ni majina mawili tofauti hasa kwa mapachaNaona kuna watu wanaitwa Hassan wengine Hussein sasa sijajua ni watu wanakosea kutamka au ni majina tofauti.
Sidhani, haya ni tofauti, Ila John na Yohana ni mojaHapo Ni Kama kutafuta tofauti ya John na Yohana. Nafikiri moja Ni kiingereza na nyingine kiarabu/kiswahili
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hussein vpTofauti..,
Hassan wanafupisha wanaitwa Hans.
Atakuwa hunshussein vp