Hivi hata Ulaya kuna sehemu zimepewa majina ya nchi mfano hapa Tanzania kuna street inaitwa Morocco, Argentina nk

Ujerumani kuna watanzania waliruhusiwa kuita mtaa mmoja huko mmoja wa wanawake wapigania uhuru kutoka mkoa mmoja wa kaskazini mwa tanzania. Diaspora walioko ulaya na amerika wajitahidi kupenyeza majina ya kitanzania huko waliko
 
Zipo nyingi sana na London nimeona majina kama ya Nelson Mandela , Steve Biko na hata India Road huko Gloucester
 
Da
Aice tutafute hela, umenikumbusha mi nilipoteza nauli inabidi nitembee kwa mguu kutoka katoro Hadi geita mjini na ilitakiwa niwe na buku mbili TU nipande gari.
 
Umenikumbusha aise tangi bovu mpaka posta kwa miguu,
Nimeshtuka saa kumi usiku pombe zimekata Sina hata mia na saa moja natakiwa niwepo job aise gafla nikaichukia pombe,
Cha ajabu siku hiyo hiyo nikapiga Dili la nguvu jion nikajikuta nipo bar wakati nilishaapa asubuh sinywi tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…