Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hivi kuna kanuni ya mpira inayowaongoza vijana waokota mipira? Tumeona juzi kwenye mechi ya Yanga na USMA jinsi ambavyo vijana waokota mipira walivyotumika kuathiri mchezo.
Wakirusha mipira miwili miwili ili kupooza mchezo na kupoteza muda. kuna sheria za mpira zinazowaongoza vijana hawa?
Mamlaka ya refa kwa vijana hawa yakoje?
Wakirusha mipira miwili miwili ili kupooza mchezo na kupoteza muda. kuna sheria za mpira zinazowaongoza vijana hawa?
Mamlaka ya refa kwa vijana hawa yakoje?