Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Kwa nini asikapige red card?Niliipenda sana ile kazi waliyoifanya.
Kuna wakati refa alienda kumfokea mmoja wao, dogo mjeuri wa kiarabu akawa anamcheki tu refa kama ganda la muwa, na baada ya muda akarusha mpira mwingine uwanjani ikawa mipira 2.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliipenda sana ile kazi waliyoifanya.