HIVI HAWA JAMAA WANA AKILI KWELI KUMPA NYANI BUNDUKI (AK-47) ???

HIVI HAWA JAMAA WANA AKILI KWELI KUMPA NYANI BUNDUKI (AK-47) ???

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Tangu huu mwaka uanze nadhani hakuna siku niliyocheka kama leo aisee.
Sijui ni kweli au uongo, lakini hawa jamaa wana mashudu kichwani.
Hivi kweli unampaje nyani bunduki ya AK-47 ambayo iko loaded ??

Happy Holidays Good People....
 
Kwa akili zetu za haraka haraka tunajua nyani hawana uwezo was kuvuta trigger!

Tunasahau wote tunatoka kwenye order primates sema familia tofauti tofauti kuanzia komba,tumbili mpaka gorrila
 
😂😂😂😂😂😂 jamaaa na mimi nilikuwa nawatafakuriiii
Halafu kuna mmoja anasikika akisema no!no!no!no
Lakini hilo fala bado likampa tu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwa akili zetu za haraka haraka tunajua nyani hawana uwezo was kuvuta trigger!

Tunasahau wote tunatoka kwenye order primates sema familia tofauti tofauti kuanzia komba,tumbili mpaka gorrila
Halafu limemaliza kupiga likaunua juu bunduki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Yaweza kuwa ni editing maana mi kwa uelewa wangu bunduki huanzia kilo 3 nakuendelea iweje nyani aibebe comfortably.
 
Back
Top Bottom