MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hahahahaha, Nigger yo mean!Mbona African leaders walikabidhiwa ikulu hujashangaa
Halafu kuna mmoja anasikika akisema no!no!no!no😂😂😂😂😂😂 jamaaa na mimi nilikuwa nawatafakuriiii
Halafu limemaliza kupiga likaunua juu bundukiKwa akili zetu za haraka haraka tunajua nyani hawana uwezo was kuvuta trigger!
Tunasahau wote tunatoka kwenye order primates sema familia tofauti tofauti kuanzia komba,tumbili mpaka gorrila
Mbona huyo ana akili kuliko "wasiojulikana" na "policcm wengi" .Tangu huu mwaka uanze nadhani hakuna siku niliyocheka kama leo aisee.
Sijui ni kweli au uongo, lakini hawa jamaa wana mashudu kichwani.
Hivi kweli unampaje nyani bunduki ya AK-47 ambayo iko loaded ??
Happy Holidays Good People....
Yaweza kuwa ni editing maana mi kwa uelewa wangu bunduki huanzia kilo 3 nakuendelea iweje nyani aibebe comfortably.